Msaada tafadhali

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,192
Niko na Visa kadi ya CRDB hapa Nairobi-Kenya.. Je naweza kutoa hela Bank gani? Kama kuna mwenye kujua anisaidie..
 
Niko na Visa kadi ya CRDB hapa Nairobi-Kenya.. Je naweza kutoa hela Bank gani? Kama kuna mwenye kujua anisaidie..
Mkuu nenda kwenye ATM yoyote iliyo karibu nawe yenye LOGO ya VISA itatema hela. Ila wakati mwingine kuna Bank zinataka uwaarifu kuwa utasafiri nchi za nje na baadhi ya nchi utakazotembelea. Hii ni kwa ajili ya kukulinda na vibaka wa mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…