Msaada tafadhali

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
582
Reaction score
508
Habari kama kichwa cha habari kilivyo.
Nina mtoto wangu mtundu kweli katika kucheza cheza huko wenzake wamemleta akiwa analia wanadai ameanguka na damu zinamtoka mdomoni kumuangalia meno yameshuka ya juu mbele na damu zinamtoka. Sasa je aking'olewa yanaweza kuota mengine au ndo basi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimekwenda hospital wamekula 4000 yangu kumuona daktari cha kushangaza tumeondoka na panadol eti mpaka kesho jpili ndio atang'olewa meno na tena mpaka awepo mtaalamu wa meno hosp za binafsi inayotoa meno wamefunga saa 12 jioni. Sasa nimpatie huduma gani zaidi ya panadol ili kumtuliza maumivu maana leo hatutalala ndani kwa kilio chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…