nataka kumhamisha mdogo wangu shule, atoke Musoma aje Kibaha, barua ya uhamisha niiadress kwa nani na inatakiwa kupitia kwa nani na nani?
shule nishapata, bado tu kudraft hiyo barua
boarding to boardingkama ni boarding kwenda boarding inaweza ikawa rahisi ila kama ni day kwenda boarding then ambatanisha na sababu za msingi kuhalalisha kuhamishwa huko, kama ulivyoelezwa hapo juu barua zinapita kwa REO na DEO (Sekondari)