Hapana mkuu nimekuja kikaz tu!! Siku kadhaa.Watu watakuambia ivi
"Naona unaenda kutiaa...tumia kondom...leta mrejesho".
Wakat usikute Umekuja Dar kupiga kazi siku mbili tatu usepe .
Au watakua wamepatia nn??
Wanakuja mkuu ,usijali JF ni duka ka kila kitu
R.I.P. AnanMtafute mwenyekit wa mahala husika
Atakujuza
Na kama ni mwelewa atakupeleka mahala husika
Sisi wengine tupo nyumban kwa kofi Anan tunawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mtihan mkuuMtafute mwenyekit wa mahala husika
Atakujuza
Na kama ni mwelewa atakupeleka mahala husika
Sisi wengine tupo nyumban kwa kofi Anan tunawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa shaka mkuu!!Unataka kufanya project gani, Isije baadaye tukaanza kutafutwa tulishirikiana...Ohooo