Hello wana JF...
Natumai mnamaliza mwaka vizuri.. Karibu 2019.
Mimi leo naomba mnisaidie namna ninavyoweza kupata mfadhili wa kunisaidia kufungua mradi wangu wa Elimu kwa kujenga shule. Nina ekari 20 Ludewa hapa.
Sasa wanasema vijana tujishughulishe. Mimi nimepambana na nimepata ekari 20. Ni sehemu zuri ambapo huduma zingine Kama umeme na maji ni rahisi kufikia. Naomba mnipe mbinu namna ya kumpata mfadhili.
Asanteni wataalamu
Sent using
Jamii Forums mobile app