Msaada tafadhali

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Poleni na majukumu wakuu

Nimebahatika kupata majani,magamba,na mbegu za mlonge

Najua hapa kuna wajuzi mnaweza kukusaidia namna kuitengeneza iwe dawa na matumizi yake

Nimeutafuta mlonge kwa bidii baada ya kusoma sifa zake humu

Naombeni msaada kwa ilo nataka nianze dozi I leo
 
chukua majani yake yakiwa mabichi yatunze ndani kwenye Ungo yakaukie ndani au kwenye kivuli yasikauke na jua.

matumizi kwa majani
yakishakauka yatwange au yaswage vizuri Mpaka upate Unga wa mlonge.
tumia vijiko vitatu vya chakula ku_Mix na mlo wowote .

Mbegu
chukua mbegu zimenye kutoa maganda . tumia kama Dose kujitibu mfano 3×3 kila siku za maisha yako.

Mizizi
chimba chemsha chuja kunywa kwa tiba

kwa ninavyoelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…