Proof huwa ni ipi mahakamani kuwa you have served the other party a copy of the notice of appeal and a copy of the letter applying record of appeal documents.
Nauliza hivi kwa maana usipofanya hivyo hizo siku 60 zitakulalia.
kama una sample ya hiyo kitu nisaidie jinsi unavyoweza kuihakikishia mahakama kuwa you served somebody. Kuna mahali nimeona affidavit inaweza kutumika, lakini hiyo si unaweza kula njama na advocate/hakimu akakusainia hivyo affidavit