Msaada Tafadhali!

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,334
Reaction score
527
Wakuu Wasalaam?

Naomba kujua historia ya hii picha maana nimekuwa naona tu mitandai naomba kujua;-

1. Huyu mtoto anaitwa nani?
2. Na kwanini anaonekana kafungwa minyororo?
3. Alikuwa raia wa taifa gani?
4. Na wakina nani walimfunga hiyo minyororo?
 
Mimi ndo kwanza naiona. Watakuja waliomfunga nyororo kutujuza ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…