Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

The Inquisitive

Senior Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
177
Reaction score
29
Naomba mnisaidie kunitajia hoteli nzuri na reasonable rates huko Zanzibar. Nitashukuru kupata contact details za hizo sehemu. Asanteni.
 
Ziko nyingi tu, Je una mpango wa kuzivamia na kuzilipua?
 
wakishakutajia ili ujihakikishie mwenyewe tumia hzo darubini kuhakikisha hkohko uliko kabla hujaenda zenji...........huh
 
Zipo nyingi tu nenda Hotel mchamba wima., iko pande za chake chake.,yakheeee!
 
Wadau, bado nipo nasubiri info kutoka kwenu kuhusu hoteli Zanzibar :A S-alert1: Nina hakika jibu lipo hapa JF.
 
Back
Top Bottom