Msaada tafadhali....

Msaada tafadhali....

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,601
Reaction score
2,354
Naomba kujua tofauti kati ya managing director(MD) na director general(DG) pamoja na Chief executive officer ( CEO) ..... natanguliza shukran.....

Its not over until its over...[emoji769]
 
Usalama wa Taifa kama TISS na CIA wana DG.
Makampuni yana CEO na MD lakini sijawahi sikia DG.
Mashirika sijawahi sikia CEO.
Sijatoa maana yoyote wala sijui kuelezea hasa lakini kila cheo huwa najua kinafit wapi na ninaweza jua kuna kosa flani limetokea kwenye kuandika au delegation ya kazi flani ikipewa cheo flani.
Pia kuna Director of Operations (DO)
 
Shukran mkuu

Its not over until its over...[emoji769]
 
Back
Top Bottom