Msaada tafadhali

Ontuzu

Senior Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
114
Reaction score
107
Nina tatizo kubwa sana la meno toka nikiwa mdogo nimekuwa nasumbuliwa nayo. Almost yote yameoza ila nimekuwa nikiyaziba sina raha nimeshauriwa kuwa kuna teknolojia mpya imekuja tz ukiacha ile ya zamani ambapo ungeweza kuweka meno bandia lakini kila jioni unayatoa unasafisha, hii ya sasa nimegusiwa kuwa hilo jino likishapachikwa kwenye fizi ndio moja kwa moja.

Wadau naomba mwenye ufahamu na hii teknolojia anijuze pia ni wapi naweza kuipata kwa hapa dar. natanguliza shukrani
 
nenda muhimbili host wana teknolojia haiitaji kung'oa meno. Mwenyewe utaipenda
 
Hiyo teknolojia mpya ndio kwanza naisikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…