Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Daole

Senior Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
161
Reaction score
110
naomba mwenye majina ya wanafunzi waliopata mkopo mwaka jana 2010/2011( MNMA) chuo cha Kumbukumbu ya Mwalim Nyerere. Tafadhali nina shida nayo. Nimejaribu kugoogle,kusearch humu kwenye forum na pia kwa michuzi nimeshindwa hata kwenye web yao(heslb) nimeshindwa kuyapata. nawaombenu msaada tafadhali.
 
ukishindwa humu jitahidi kwenda hata hapo chuoni muone loan officer wao.
 
Kuanzia mwaka jana hadi leo ulikuwa wapi?.
.
 
Back
Top Bottom