naomba mwenye majina ya wanafunzi waliopata mkopo mwaka jana 2010/2011( MNMA) chuo cha Kumbukumbu ya Mwalim Nyerere. Tafadhali nina shida nayo. Nimejaribu kugoogle,kusearch humu kwenye forum na pia kwa michuzi nimeshindwa hata kwenye web yao(heslb) nimeshindwa kuyapata. nawaombenu msaada tafadhali.