M Mwambigija New Member Joined May 26, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Nov 11, 2011 #1 Wanajamii samahani,naombeni msaada kwa anayeweza nielekeza zilipo ofisi za alliance autos ltd.
shizukan JF-Expert Member Joined Jan 16, 2011 Posts 1,158 Reaction score 564 Nov 11, 2011 #2 Mwambigija said: Wanajamii samahani,naombeni msaada kwa anayeweza nielekeza zilipo ofisi za alliance autos ltd. Click to expand... Sina hakika kama wana ofisi hapa Tanzania ila nimeona vibango vyao ktk show room ya CFAO Motors pale mlimani city, nafikiri ni subsidiary ya hiyo CFAO
Mwambigija said: Wanajamii samahani,naombeni msaada kwa anayeweza nielekeza zilipo ofisi za alliance autos ltd. Click to expand... Sina hakika kama wana ofisi hapa Tanzania ila nimeona vibango vyao ktk show room ya CFAO Motors pale mlimani city, nafikiri ni subsidiary ya hiyo CFAO