Msaada tafadhali

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Naandika hili nikiwa na hasira sana

Msaada mwenye kujua spray yeyote au sawa inayoweza chafua hali ya hewa kwa muda mfupi na kusababisha pasikalike

Au dawa ambayo ukichoma itaharibu hali ya hewa kwa muda mfupi yaani ilimradi pasikalike

Msaada tafadhali kwa anaejua moja kati ya hilo
 
Choma pilipili, kunguni au Mende

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wasamehe tu maana ukichoma hata wewe hutakaa
 
Choma chochote cha plastic au mpira wa baskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…