Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
Masters wanachukua kuanzia G.P.A ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingia hapa The Institute of Finance management :: Home au Mzumbe University Welcomes you !!! your problem solved..
ingia hapa The Institute of Finance management :: Home au Mzumbe University Welcomes you !!! your problem solved..
Inategemea na chuo na taratibu zao. Ila nadhani kuanzia second lower kwenda juu. GPA ipi ndo second lower hata sikumbuki wajuzi watatusaidia.kuwa na subira
kudadeki zako ww.......! Yani mashori huwa mnawajibu majibu mazuri but kwa sisi wanaume wenzenu huwa mnatupa kejeli na ku2dis, badilikeni bhana wala so mpango wa nini but ni ulimbukeni huo na usaliti wa hali ya juu
una uhakika gan kama muulza swali ni wa kike au wakiume?
shame on u, yani angekuwa mwanaume ndo kauliza hilo swali basi ungejibu kejeli 2.
Masterz wanaanza kuchukua 2.7 mpaka 5..yaan lower second,ukiwa na pass degree unatakiwa usome PGD kwanza ndo mastaz