Lakini siyo siri hapa JF kuna ubaguzi mkubwa sana wa kijinsia kwn mm mwnyewe nimeleta maada hapa chini kutaka kusaidiwa tu tathmini lkn kw kuwa n mwanaume,wasamaria watatu wazalendo wasio na roho ya kutu ndo walinisaidia! Jamani hebu tubadilike tuwe kama blood sisters&bro's! Tangu juzi hadi leo hii tunavyozungumza hakuna tena aliyeongezeka! Jamani wanajf,tunaharbu jina la great thinkers kw nn tuwe na dhana finyu za kitumwa kivle? Hata sisi wadogo zenu tunahtaj msaada kutoka kwnu sasa inaniuma sana kuona mnaracial kiac kile! Sjiskii flesh kwa kwl!