pengine alikuwa ni mja mzito.mimba kama ndogo,kwenye ultra sound huwa haionyeshi.ila kwenye pregnancy test huwa inaonyesha,mara nyingi,mimba ikiharibika huwa kuna blood clots.kikubwa angefanyiwa blood test kuangalia hormones,kama alikuwa mjamzito,itaonyesha.aende aonane na dokta as soon as possible.mambo ya ku bleed bleed sio mazuri