yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Oct 3, 2012 #1 jaman wadau kama kuna mtu yeyote anakumbuka job descriptions za afisa mtendaji kwa hizi post za utumishi walizotoa majina juz....kila nkizitafuta ktk website ya utumishi sion kitu labda wamelitoa tangazo lile....
jaman wadau kama kuna mtu yeyote anakumbuka job descriptions za afisa mtendaji kwa hizi post za utumishi walizotoa majina juz....kila nkizitafuta ktk website ya utumishi sion kitu labda wamelitoa tangazo lile....