Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Nimeona tume ya ajira imetangaza usaili kuanzia tarehe 25 october, ingawa umebadilishwa na kusogezwa mbele kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya Id ila sijajua ni kada zipi, ajira zilizotangazwa lini na majina ya walioitwa. Naomba mwenye kujua anisaidie na pia ikiwezekana anisaidie na kuweka majina make natumia simu.
 
Back
Top Bottom