Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 25, nmesoma hadi kidato cha nne nina uzoefu kwenye matumizi ya computer, nmefanya kazi stationary miaka 3, nkawa secretary kwenye kampuni moja ya usafirishaji kwa miaka 2, sasa hivi nafanya kazi kama receptionist kwenye gym tangu mwezi wa saba.
sehemu ninayofanyakazi sasa kunamgogoro gym inaweza fungwa muda wowote. hivyo naomba msaada kama mtu anaweza kufahamu sehemu yenye kazi kama nlizoishataja hapo au zinazofanania.
1. ninauwezo mkubwa wa kutumia computer, pia naweza kutumia systeam kufanya mauzo kwahiyo hata supermakert naweza fanya.
2. ni mcheshi na nina lugha nzuri kwa wateja hata wale wakali kama mnavyojua gym nahudumia watu wenye vyeo na jeuri ya pesa.
3. ninaongea kiingereza na kiswahili.
4. naishi Dar es salaam.