Typhoid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 226
- 70
Nilijaribu kwa mara ya kwanza kimzaha zaha kupiga punyeto, nikaenda kwa mara nyingine, ni miaka miwili sasa najaribu kuacha inashindikana. Nikijaribu kama miezi miwili hivi najikuta napiga tena, yani huwa najisikia raha 100% kuliko kuwa na mwanamke, lakini sijisikii vizuri mana nina mke naona kama vile namsaliti, sasa nitaachaje? wanungwana mnisaidie niko serious!