Msaada tafadhali!

Typhoid

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
226
Reaction score
70
Nilijaribu kwa mara ya kwanza kimzaha zaha kupiga punyeto, nikaenda kwa mara nyingine, ni miaka miwili sasa najaribu kuacha inashindikana. Nikijaribu kama miezi miwili hivi najikuta napiga tena, yani huwa najisikia raha 100% kuliko kuwa na mwanamke, lakini sijisikii vizuri mana nina mke naona kama vile namsaliti, sasa nitaachaje? wanungwana mnisaidie niko serious!
 
hahaha unapenda kujipimia utamu lol mke papuchi imrshalepweta nini mwana?
 
Masturbation is agaist god' words, stop it please,pray god, be close to ur wife
 
Hakuna kisichowezekana kuacha. Kama umeishajua kuwa unachofanya si kizuri basi ni hatua moja mbele kuelekea kukiacha. Kama hutaacha siku atakapokufuma ukipiga nyeto utaacha kwa aibu. Acha mara moja. Ni ajabu mtu una mke bado unapiga nyeto. Kwanini usifanye hadi mdudu wako akashindwa hata kusimama uone kama utazipiga hizo nyeto. Elekeza mawazo yako kwa mkeo badala ya nyeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…