Mimi ni msichana,nimekua nikipata period vizuri tu na last month nlipata tarehe 1 dec, ila mpaka leo cjapata period n mzunguko wangu ni wa siku 28 na kwa mwezi wote huu sijakutana na mwanaume kabisaa,cjui tatizo ni nini hapo,naomba msaada tafadhali...