Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mambo yanachanganya kidogo kuhusu afya ya uke! ukiona unapata ute mweupe mzito usio na harufu lakini unaambatana na kuwashwa uke ujue una candida. ukiona unapata ute mwepesi wa njano au kijani wenye harufu mbaya isiyoeleweka ujue una trichomoniasis. na ukiona unapata ute wa kijivujivu na harufu kama ya samaki ujue una bacteria vaginosisi. kila ugonjwa una tiba yake. lakini kumbuka kwamba ute wa uke ni mzito na huwa mweupe au safi(clear) ila hauwashi kama candida.nasikia wanasema ni uchafu kama ni mweupe so inaitajika kujisafisha kwa uangalifu ila kama unarangi uwa ni ugonjwa.
sina uhakika maana ata mi uwa inanitokea maramoja moja sana
msaada tafadhali
kwani huwa anawashwa?kuna mambo yanachanganya kidogo kuhusu afya ya uke! ukiona unapata ute mweupe mzito usio na harufu lakini unaambatana na kuwashwa uke ujue una candida. ukiona unapata ute mwepesi wa njano au kijani wenye harufu mbaya isiyoeleweka ujue una trichomoniasis. na ukiona unapata ute wa kijivujivu na harufu kama ya samaki ujue una bacteria vaginosisi. kila ugonjwa una tiba yake. lakini kumbuka kwamba ute wa uke ni mzito na huwa mweupe au safi(clear) ila hauwashi kama candida.
kwani huwa anawashwa?