Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu kitakauka baada ya siku chache tu mambo ya kuzingatia
-kukausha majimaji hayo kwa kitambaa safi kinachoweza kufyonza maji,
-kusafisha kwa maji safi na kukausha vizuri,
-kukiacha kitovu wazi kipigwe hewa ili kikauke haraka
kama ukiona haya yanayofuata mpeleke hosp.anaweza akawa amepata infection
-kitaanza kutoa majimaji ya njano,kuendeleea kuvimba sana na kuvuja damu,kutoa harufu mbaya.