Pole mkuu. Muone daktari ufanyiwe uchunguzi (kama nerve conductivity tests) na upate ushauri wa uhakika.
Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo lako na kumbe ilikuwa ni CARPAL-TUNNEL syndrome. Baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo tatizo lilikwisha. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu carpal-tunnel syndrome hapa: