The Kingston
Member
- Feb 23, 2013
- 33
- 4
Naombeni mnisaidie nina tatizo la uzito kuongezeka na nina hitaji kupunguza ila kwa njia ya chakula au kama kuna mtu anaweza niambia nitumie mpangilio upi wa chakula kwa sababu nakosa muda wa mazoezi kutokana na kazi ninayoifanya.