msaada tafadhali

msaada tafadhali

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
346
Reaction score
76
wanaJF habar, Naombeni
mnisaidie kuna mdogo wangu
anamaliza 4m4 mwaka huu.
Ndoto zake anataka kufanya kazi
benki je nimsaidie vp
 
mshauri asome certificate/diploma CBE au pengine (finance, banking, accounting etc)
 
Back
Top Bottom