Nyamagembe
Member
- Apr 23, 2013
- 24
- 4
Mm ni binti, ninahitaji ushauri na msaada wa kitabibu pia if possible, toka nimekuwa (means nimepevuka) siku zangu yaani hedhi haziendi kwa mpangilio(yaani sina mzunguko maalum kama ilivyo kwa wanawake wengi). Mfano natoa summary ya siku zangu toka May 2012, mtiririko ni kama ifuatavyo nilipata hedhi baada ya siku 35, then 55, then 35, then 36, then 40, then 31, then 35, then 55 na wik iliyopita nimepata baada ya kupita siku 42 yaani ya 43 ndo nikapata hedhi. Je, kuna uwezekano wa kupata tiba siku zangu zikakaa sawa?? Na kwa mtiririko huo nikitaka kupata mtoto ndo itakuwaje jamani?? Nisaidieni tafadhali.
Natanguliza shukrani, Asanteni.
Natanguliza shukrani, Asanteni.