msaada tafadhali

msaada tafadhali

Farida rajabu

Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
5
Reaction score
0
hbr, matokeo yng ya 4m 4 hayo, hst f, ksw c, eng d, civics c, geo d, math f, biology c, je naenza endelea na advnc na kufanya mtihan wa 4m 6 kama school candidate, na kama college niende koz gan kwa haya matokeo
 
unaweza kwenda advance private,lakn utaweza kumudu masomo,maana naona histry umefail.lakn unaweza fanya vzur kama utakuwa serious.lakn unasoma tu ila baadhi ya shule watakua watata.labda niambie upo maeneo gani nikutajie shule nzuri.kunadogo alipata kama wewe anasoma hgk private.
 
Back
Top Bottom