wanaJF naombeni msaada wenu. Mimi nasumbuliwa na kucha ya kidole gumba cha mguu,hyo kucha inaotea kuelekea pembezoni mwa nyama ya kidole na inaleta maumivu makali sana tafadhali nisaidieni
Pole sana. Hicho kitu kinauma balaa, hadi kulala na kuvaa viatu inakuwa mateso. Namshukuru Mungu baada ya operation 3 sasa nimepona.
Ila nilikutana na mama mmoja akanipa dawa ya kihaya iliyomsaidia kakangu. Ni ya maji unaweka matone kwenye kucha. Huyo mama ana saluni nzuri iko opposite na vatican hotel, sinza. Ziko saluni mbili hapo lakini nadhani yake ni kubwa, i hope bado ipo.
Pole sana kaka,,...najua how much the painfull that u face....mm nilifanyiwa operation mbili ndo nkapona...n now i thanks Lord naeza vaa kiatu chochote without any painful,,..nenda hosp waeleze then utapatiwa tiba