Naomba kujuzwa kama kuna member yeyote anayefahamu agencies au kampuni zinazoelekeza namna mtu anvyoweza kwenda kusoma abroad (Masters level), kuanzia namna ya kupata admissions mpaka schorlaships.
Kuna jamaa walikuwa pale Ubungo wanaitwa Education and Carrier Development Support (ECDS) sijui walipotelea wapi!!!
Thanks in advance,
Z.