msaada tafadhali

rubwe

Senior Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
109
Reaction score
25
Kwa anayefahamu utaratibu wa kuvunja ndoa katika mahakama na mchakato mzima wa kugawana mali naomba msaada
 
dah,my fellow JF member,naomba uangalie thread zote juu ya kuvunja ndoa au atleast 4,comments zinamajibu yote,kama hujaelewa comment tu pale mtu atakujibu, koz ths is an everyday question humu ndani, watu wengine wanajua ila wanachoka kujibu the same thing kila siku, nakushauri uzisome hizo threads or else utasubiri kwa mda mrefu.
 
unaweza kujaribu kuvumiliana kidogo kuliko kuivunja ndoa kaibisa?....au imeshindikana kabisa ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…