Msaada tafadhali.

Msaada tafadhali.

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Nawasilimu wote wanaJf doctor!

Naombeni msaada kwa anayejua namna ya kupunguza maumivu makali wakati wa hedhi,mke wangu anapata shida sana,mpaka anaharisha!

Nawasilisha kwenu,utani pembeni ktk hili.
Natanguliza shukrani!
 
Mpe pole your wifey.. Mie siku ya kwanza ya hedhi tumbo linauma sana, maumivu makali yasiyoelezeka.. Hivyo ni lazima ninywe panadol ndio linapoa.. Bila hivyo siwezi kabisa na nitateseka kweli kimaumivu.
 
Nashukuru kwa ushauri...yaani leo imemlazimu kuomba ruhusa na kurudi home...
 
Jaribu panadol maana mie huwa zinanisaidia ila ukienda pharmacy kuna dawa za maumivu utasaidiwa tu.Pole sana
 
Aloevera gel pia inasaidia! Jaribu kuitafuta.
 
Me pia natumia panadol na mara nyingine likizidi xana linakataa panadol so nakunywa buscopan na zinasaidia sana
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu,umekuwa wa manufaa sana,anaendelea vizuri mke wangu!
 
ajaribu buclofan....naweza kuwa nimekosea spelling but ukisoma kama ilivyo phamasist yeyote ataielewa
 
Back
Top Bottom