Wakuu
mwenye taarifa na majina ya waliochaguliwa kuanza dip. katika kozi za eng. DIT kwa direct entry atusaidie..na kama hawajatoa watatoa lini 7bu nina dogo hapa anayasubri kwa hamu na hakuna sehemu nyengne alizo omba na matokeo yake yako poa sana ya o level na Adv.