Msaada tafadhali!

Mlasani

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
113
Reaction score
28
Kwanini sipati usingizi hata kidogo for two days now? Ni ugonjwa au ni nini? Naombeni msaada na tiba kwa anaefahamu hii hali
 
Piga kitu cha ndumu(bangi) tatizo litakwisha kabisa
 
Kwanini sipati usingizi hata kidogo for two days now? Ni ugonjwa au ni nini? Naombeni msaada na tiba kwa anaefahamu hii hali

Mkuu pole, lkn jaribu kujiangalia kwa hizi siku 2. Je umekwazwa sana na mtu? Unasumbuliwa na mawazo mengi? Au majukumu yamekuzidi mpaka yanaleta msongo wa mawazo?. Badilisha mazingira kwa ajili ya mapumziko, ikishindikana waone wataalamu wa afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…