Msaada tafadhali

kelcie

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
58
Reaction score
21
Mimi ni msichana 23 yrs old,sijafnya mapenzi snce may dic year and i was ok,bt aftr kumaliza period trhe 13 august naona mabdiliko ambayo ynaninyima raha,natokwa na ute kama wa mayai mabichi na mwingi naeza kusma mwing coz umepitliza kias ambacho uwa unatoka na mpaka leo haujakata...plz madktari nisaidien ni hali ya kawaida au?

NB
sihatji matus kama uez saidia kaa kimya ukimalza kusoma
 
Ovulation hio. Na kama imedumu mda mrefu itakua ham zimekuzidia. Kawaida tu hio. Km hujafanya siku nyingi
 
Kuzuia huo ute usiendelee kutoka unatakiwa uzamishiwe na kitu libolo, sawa?.
 
Hali ya kawaida sana bidada wala usiumize kichwa
 
kwanza pole thn usiwe na wasiwasi sana next period itaacha iyo hali.
 
Am sure una nyege sana, anza kufanya mazoezi kama kukimbia upunguze ufuta huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…