Kuna jamaa yangu kaomba chuo kwa kutumia Equivalent category, katika vyuo vitano alivyoomba vinne tayari selection zake ziko kwenye websites za hivyo vyuo, kimebaki chuo kimoja ambacho ni St. John. Nikimwangalizia kupitua TCU napata ujumbe kuwa either hajawaselected or information hazijawa submitted. Naomba kusaidiwa kwa yeyeto anayejua selection za St.John nizipataje. Nawasilisha