Naomba nikuulize maswali haya
chuo chake kinafunguliwa lin?
na direct fees za chuoni ni kias gan?
Chuo kitafunguliwa tar30 mwezi huu,direct fees bado haijafahamika kwani heslb bado.
Lakini gharama hitajika kwa calculation za harakaharaka ni si chini ya 0.8mil.
ushauri wangu ni kuwa kama anaweza kumpata mtu wa kumkopa amkopeshe ili hela ya boom ikitoka amlipe unless otherwise asign hela yake ya boom ikatwe juu kwa juu na chuo husika
Asante kwa ushauri mzuri ndg,endelea kubarikiwa na Mungu.