Msaada tafadhali

Arstotle

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
45
Reaction score
10
jamani naomba mnisaidie dawa ya kuongeza dushelele kwani watu wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta dawa hiyo ila wengi wamekuwa wakidanganywa kwa anayejua anifahamishe kwani wana shindwa kufurahiya ndoa zao
 
ridhika na maumbile uliopewa na muumba...
 
Google Xcream penis arrangement!! Unaweza agiza strait from USA it's not much expensive just like 7$
 
Usipojiamini utaliona dogo mwishowe utashindwa hata namna ya kulitumia....
 
Paka pilipili nyingi kisha osha na maji ya moto utapata big results now!
 
jamani naomba mnisaidie dawa ya kuongeza dushelele kwani watu wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta dawa hiyo ila wengi wamekuwa wakidanganywa kwa anayejua anifahamishe kwani wana shindwa kufurahiya ndoa zao
nasikia ukipigwa back teh teh inaongezeka jaribu hiyo mbinu mkuu
 
Unataka kuongeza ukubwa ili iweje?
 
Weee! Kakudanganya nani?kuna mdada alikuja hapa analia mpenzi wake kila cku uume unaongezeka anahofia kuolewa naye! KAONGEZE NAWEWE YAKUKUTE !
 
Paka ----- then osha na maji.. Utafurahi mwenyewe coz dawa hii ipo faster kinoumer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…