Msaada tafadhali...

Msaada tafadhali...

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
HABARI ZENU WANAJAMVI.........
Bila shaka wengi wetu hasa wenye watoto mda huu ni wa kuumiza vichwa ni wapi tupeleke watoto wetu kwa ajili ya kuanza Kidato cha kwanza mwaka 2014. Nasikitika kwamba shule zetu nyingi bado hazina website kwa ajili ya kupata mawasiliano kwa haraka.
Hivyo kwa uchaguzi wangu naomba wanajamvi mnisaidie mawasiliano ya shule za;
Kifungilo Girls
Huruma Girls ama
Kowak Girls. Naomba pia minitajie shule nyingine nzuri zaidi kwa watoto wa kike
Natanguliza shukrani kwa mwanajf atakayenisaidia mawasiliano ya shule hizo. ahsanteni
 
Back
Top Bottom