Baadhi ya wanawake wanatokwa na damu au spotting mwanzoni mwa ujauzito..kwenye zile siku ambazo anazotakiwa apate hedhi..Lakini inakuwa sio damu ya hedhi bali inaitwa "IMPLANTATION BLEEDING" ambayo inasababishwa na yai lilopevuka(lilorutubika) linaposogea kwenye mfuko wa uzazi ili kujiegesha hapo.Damu hii inakuwa nyepesi zaidi tofauti na ya hedhi na mjamzito anaweza aipate kwa siku moja mpaka mbili.Habari wana jf
nimekutana na demu wangu siku saba baada ya hapo akapata hedhi . Tukakaa akanipigia simu akaniambia siku zake hazioni na ni siku ya thelathin ktk mzunguko wake.tatizo linakuja hivi ananiambia ana ujauzito wakati nimemuacha akiwa anableed.sasa mimba ni yangu au naibiwa naombeni msaada kwa wataalam wanaojua
Sawa mpendwa,You can take over if you wont mind!!:A S-rose:mimi49 umemueleza vyema lakini ukiyasoma vizuri maelezo ya huyu bwana inabidi kumuuliza maswali mawili matatu ili kujiridhisha....
Kumbuka kuwa mimba huwa ina dalili kadha wa kadha hata kabla mwanamke haja notice kukosa siku zake...
Sawa mpendwa,You can take over if you wont mind!!:A S-rose: