Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

tototundu 1

Senior Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
138
Reaction score
36
Habari zenu wakuu naomba ushauri kwa anae elewa vizuri hizi coz mbili Transport & logistic na procurement & logistic ipi coz nzuri zaidi yenye ajira ya haraka kwa ngazi ya degree hasa kwa mie ninaesoma kuajiriwa ntashukuru kwa ambae anaweza kuzifafanua zaidi ili nijue undani wake, nawasilisha
 
...mbona zinajieleza mkuu,transport ni mambo ya kumanage movement ya production material na kisha output na procurement ni manunuzi...
 
Sasa nzuri zaidi ni ipi na ipi ina soko zaidi??? Ipi pana zaidi na ipi husugui bench ukimaliza???
 
Karibuni wakuu ushauri wenu ni muhimu sana na unahitajika haraka sana
 
Back
Top Bottom