Habari zenu wakuu naomba ushauri kwa anae elewa vizuri hizi coz mbili Transport & logistic na procurement & logistic ipi coz nzuri zaidi yenye ajira ya haraka kwa ngazi ya degree hasa kwa mie ninaesoma kuajiriwa ntashukuru kwa ambae anaweza kuzifafanua zaidi ili nijue undani wake, nawasilisha