aqeeler
Member
- Sep 28, 2013
- 51
- 7
Natamani kujua kama ni mjamzito lakini naogopa kupima mana nimekuwa nikijaribu kushika mimba kwa miezi sita bila mafanikio.
Mzunguko wangu ni 28 days last month nilipata Mp tar 14, nilifanya sex tar 27 ambapo ndo yai lilikuwa linapevuka. Lakini kuanzia tar 28 maziwa yalianza kujaa mpaka ambapo sio kawaida, ila sijaona dalili nyingine.
Je naweza kuwa mjamzito tayari? Na muda gan unafaa kupima kwa kutumia mkojo? (I min how many days from conception)