Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

gracious86

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
437
Reaction score
54
Habari wakuu,

Naombeni mnifahamishe dawa ambazo sio za hospital (home remedy) za mafua na kikohozi kwa mtoto wa miaka mitatu.

Natanguliza shukrani....
 
Saga/Twanga kitunguu swaumu punje 2 changanya na asali au maji mnyweshe mara 3 kwa siku
 
Kitunguu thomu,twanga na mpake kwenye visigino na viganja vya miguu akiwa analala.
 
Nenda kwa daktari wa watoto acha usangoma
 
Back
Top Bottom