Mzee wa tabasamu
Member
- Nov 18, 2012
- 10
- 3
Nimesikia mara nyingi ikitokea mtu ana tatizo la figo moja inaondolewa na kutafutwa nyingine ya mtu mzima ili awekewe. Je, kama huyu mgonjwa figo yake moja imeshindwa kumsaidia, yule anayetoa figo yake kumsaidia mgonjwa hapati matatizo kwa kubakiza1?