Msaada tafadhali

Joined
Nov 18, 2012
Posts
10
Reaction score
3
Nimesikia mara nyingi ikitokea mtu ana tatizo la figo moja inaondolewa na kutafutwa nyingine ya mtu mzima ili awekewe. Je, kama huyu mgonjwa figo yake moja imeshindwa kumsaidia, yule anayetoa figo yake kumsaidia mgonjwa hapati matatizo kwa kubakiza1?
 
Mtu anaweza kuishi na figo 1 bila matatizo yeyote endapo atafuata kanuni za ulaji na unywaji bora ili asitengeneze sumu za ziada kwenye mwili wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…