utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,667
Habari zenu waungwana. Naomba tumsaidie huyu binti alieniuliza swali hili, anasema mp yake kila mwezi inabadilika, yaani kama mwezi huu imekuja tarehe 20 mwezi unaofata inaweza kutokea tarehe 10 au mfano wake, hadi anashindwa kujua ni tarehe zipi hasa anapata p. Naomba madokta na wanawake tunaweza kumsaidia nini kinasababisha?
Shukran
Shukran